WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA, PROF. ADOLF MKENDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARAZA NA MENEJIMENTI YA CHUO KIKUU MZUMBE
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akutana na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe.
Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Mkoani Dodoma.