mu@mu.ac.tz +255 (0) 23 2604380/1/3/4

News & Updates

24TH CONVOCATION ANNUAL GENERAL MEETING
You are cordially invited to attend 24th Convocation Annual Meeting which will be held o 23rd November 2024,At Mzumbe Main Campus Morogoro
Read More
DKT. SHEIN APOKEA TAARIFA YA MAENDELEO YA CHUO KIKUU MZUMBE
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe na Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amepokea taarifa ya maendeleo ya Chuo iliyowasilishwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. William Mwegoha leo tarehe 06 Novemba, 2024 Zanzibar. Katika kuwasilisha taarifa hiyo …
Read More
WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA, PROF. ADOLF MKENDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARAZA NA MENEJIMENTI YA CHUO KIKUU MZUMBE
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akutana na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Mkoani Dodoma.
Read More
MZUMBE NA IORA KUIBUA FURSA ZA KIUCHUMI, UHIFADHI RASILIMALI BAHARI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza Khamis ameitaka jamii kuwa mstari wa mbele katika kutoa elimu ya kutunza na kuhifadhi mazingira ili kuwa na kizazi chenye uelewa na kuthamini mazingira hususan uchumi wa bluu. Ameyasema hayo leo tarehe 22/10/2024 wakati wa ufunguzi …
Read More
WITO WA KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha tayari amejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. Kaulimbiu ya Uchaguzi huo ni "Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi"
Read More
UNDP RESIDENT REPRESENTATIVE VISITS MZUMBE UNIVERSITY TO FOSTER COLLABORATION
On September 25, 2024, the United Nations Development Programme (UNDP) Resident Representative, Mr. Shigeki Komatsubara, made a significant visit to Mzumbe University (MU) Main Campus, signaling a growing partnership between the university and UNDP aiming at advancing professional competencies and nurturing talents to youth in Tanzania who can manipulate the …
Read More
CHUO KIKUU MZUMBE YATWAA TUZO MBILI KATIKA KONGAMANO LA KIMATAIFA NCHINI KYRGYZSTAN
Chuo Kikuu Mzumbe kimeendelea kung'ara kwenye jukwaa la kimataifa baada ya kutwaa tuzo mbili za maandiko bora katika Kongamano la 6 la Kimataifa la Utekelezaji na Mnyororo wa Ugavi kwa Afrika (ACOSCM) lililofanyika Bishkek, Kyrgyzstan. Kongamano hilo liliandaliwa na Shirika la Kuehne Foundation na liliwaleta pamoja wataalamu wa ugavi kutoka …
Read More
CHUO KIKUU MZUMBE CHASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA USHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA BONN
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha amesema Mzumbe iko tayari kushirikiana na wadau wengine wa ndani na nje ya nchi katika kubadilishana uzoefu katika maeneo ya taaluma na tafiti. Prof. Mwegoha amesema hayo leo Agosti 14, 2024 wakati wa hafla ya kusaini hati ya makubaliano kati ya …
Read More
MCHANGO WA ELIMU YA JUU KATIKA KUIMARISHA SEKTA YA KILIMO
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha ameelezea Mchango wa Sekta ya Elimu ya juu katika kuimarisha sekta ya Kilimo katika maendekeo endelevu. Prof. Mwegoha amefafanua hayo leo katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia EFM na TVE Tanzania kupitia kipindi cha Joto la Asubuhi leo tarehe 08 …
Read More
RAIS SAMIA AAHIDI KUUNGA MKONO JITIHADA ZA MAENDELEO CHUO KIKUU MZUMBE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan,ameahidi kuendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe katika kukiendeleza chuo hicho kwa kutumia fedha za makusanyo ya ndani kuanzisha miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa majengo mapya na upanuzi wa kampasi zake ili …
Read More
MKUU WA WILAYA YA TANGA ATOA RAI KWA WANANCHI KUJIENDELEZA KIELIMU KUPITIA CHUO KIKUU MZUMBE
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mheshimiwa James Kaji amewaalika wakazi wa Mkoa wa Tanga kutembelea banda la Chuo Kikuu Mzumbe katika maadhimisho ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayoendelea kwenye Viwanja vya Shule ya Popatlal Jijini Tanga ili kupata uelewa wa kozi na huduma nyinginezo zinazotolewa na Chuo hicho …
Read More
APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO VARIOUS DIPLOMA AND CERTIFICATE PROGRAMMES FOR THE 2024/2025 ACADEMIC YEAR
Mzumbe University invites applications from qualified Tanzanians and non-Tanzanians for admission into various Certificate and Diploma programmes offered by the University for the 2024/2025 academic year. The university offers eight (8) Certificate Programmes and seven (7) Diploma Programmes. Three (3) of the seven (7) Diploma Programmes are offered at the …
Read More
CALL FOR APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO POSTGRADUATE PROGRAMMES FOR THE 2024/2025 ACADEMIC YEAR
The Directorate of Research, Publications and Postgraduate Studies (DRPS), Mzumbe University invites applications for admission to the postgraduate programmes (Masters and Doctoral degree Programmes) for the 2024/2025 academic year from qualified candidates. NB: THE APPLICATION WINDOW FOR MASTER’S DEGREE PROGRAMMES WILL OPEN ON 22ND APRIL, 2024 AND THE DEADLINE FOR …
Read More