Chuo Kikuu Mzumbe mshindi wa pili, tuzo za walipa kodi bora kwa mwaka 2023/2024 divisheni ya walipa kodi wakubwa. Tuzo hizo zimetolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania jana 08/02/2025 katika Hotel ya Morena - Morogoro. Tuzo hiyo imepokelewa na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Allen Mushi.