News-Details

News >Details

ALPHONSINA AMBROSI AIWAKILISHA MZUMBE KATIKA KONGAMANO LA LUGHA ZA KIAFRIKA MAREKANI

ALPHONSINA AMBROSI AIWAKILISHA MZUMBE KATIKA KONGAMANO LA LUGHA ZA KIAFRIKA MAREKANI

Bi. Alphonsina Ambrosi, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Lugha na Stadi za Mawasiliano, Kitivo cha Sayansi za Jamii amekuwa mmoja wa washiriki wa Kongamano la Lugha za Kiafrika huko Marekani katika Chuo Kikuu cha Pittsburgh kuanzia tarehe 10-12 Aprili 2025. Katika Kongamano hilo, Bi. Alphonsina amewasilisha makala yake ya kitaaluma inayohusu nafasi ya wachapishaji wa vitabu katika kukuza na kueneza kiswahili Duniani. Chuo Kikuu Mzumbe ni kati ya vyuo vichache kutoka Tanzania vilivyoshiriki Kongamano hilo, ambapo vyuo vingine ni Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, na Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

None
None
None